Kidum - Kama ni mapenzi, аккорды
Шрифт
100
AEkama ni mapenziB–Dya kuniudhi kila saa, ya kunifanya mi kuliaAEna kama huridhikiB–Dna mbona hujasema, ili niweze rekebishaAEilifaa ni mambo shwariB–Dnikiamini u kwangu, na kukusifu kwa wazaziAEhujali tena hisia zanguB–Dsijui tunapokwenda, lakini najua tulipotokaB–AEkutoka sitoki nimetekwa nyaraB–AEkukuwacha siwezi kibarua ngumuB–AEnashindwa ni nini ntafanya uridhikeB–Animetekwa ndani, mtandao wa mapenziEbasi nakuomba, uniteke tu bila matesoAEB–Dtazama, nimezama, ndani ya bahari, la penzi lakoAEB–Dsiwezi, kusonga mbele, kurudi nyuma, sijielewiAEB– haya mapenzi ya fujo hayafaiAEB– kama wanipenda, jaribu kunipa rahaAEmi nashangaa, watu wakisemaB–Deti tunapendana, japo tunazozanaAEni vizuri mami, kumba kuwa na siriB–Dlakini jaribu, tusuluhisheAEbila hivyo, itakuwa mtesoB–Dwa kuigiza, kwenye mambo bandiaAEmimi sitaki, mambo ya kujifanyaB–Dati tunapendana, tena tunatesanaB–AEnimejaribu sana kujitoa ndaniB–AEkila nikipanga napangua mwenyeweB–AEnatamani sana ungeelewa hivyoB–AEmimi mateka, mimi pumbavu (mabusu), wa penzi lako nieleze ni lini ntakuwa huru tazama, nimezama... jaribu baby...mambo, ya kunifanya kumbafu haifai mambo yo yo yo yo yo...haifai, jaribu baby, tusuluhishe nimejaribu sana kujitoa ndani... tazama, nimezama... haya mapenzi ya fujo hayafai kama wanipenda, jaribu kunipa raha...(ad libitum)
Аппликатуры аккордов
1,975
0
29.01.2016
Kidum популярные подборы аккордов
Название композиции | Видео |
---|---|
Kama ni mapenzi
|